Joshua 12

Orodha Ya Wafalme Walioshindwa

1 aHawa ndio wafalme wa nchi ambao Waisraeli waliwashinda na kuitwaa nchi yao upande wa mashariki mwa Yordani, kuanzia Bonde la Arnoni mpaka Mlima Hermoni, pamoja na eneo lote la upande wa mashariki ya Araba:

2 bSihoni mfalme wa Waamori,

ambaye alitawala huko Heshboni. Alitawala kuanzia Aroeri kwenye ukingo wa Bonde la Arnoni, kuanzia katikati ya bonde, hadi kwenye Mto Yaboki, ambao ni mpaka wa Waamoni. Hii ilijumlisha nusu ya Gileadi.

3

cPia alitawala Araba ya mashariki kuanzia Bahari ya Kinerethi
Yaani Bahari ya Galilaya.
hadi Bahari ya Araba (yaani Bahari ya Chumvi
Yaani Bahari Mfu.
), hadi Beth-Yeshimothi, kisha kuelekea kusini chini ya materemko ya Pisga.

4 fNayo nchi ya Ogu mfalme wa Bashani,

aliyekuwa mmoja wa mabaki ya Warefai, aliyetawala Ashtarothi na Edrei.

5

gNaye alitawala katika Mlima Hermoni, Saleka, Bashani yote hadi mpaka wa watu wa Geshuri, na watu wa Maaka na nusu ya Gileadi, hadi kwenye mpaka wa Sihoni mfalme wa Heshboni.

6 hMusa, mtumishi wa Bwana, na Waisraeli wakawashinda. Naye Musa mtumishi wa Bwana akawapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase nchi ya hao wafalme ili iwe milki yao.

7 iHawa ndio wafalme wa nchi ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. (Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao: 8
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
9

10

11

12

13

14

15

16

17

18

19

20

21

22

23

24
In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Yos 12:8-Yos 12:24.
aanchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):

cv abmfalme wa Yeriko mmoja
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja
cv acmfalme wa Yerusalemu mmoja
mfalme wa Hebroni mmoja
cv admfalme wa Yarmuthi mmoja
mfalme wa Lakishi mmoja
cv aemfalme wa Egloni mmoja
mfalme wa Gezeri mmoja
cv mfalme wa Debiri mmoja
mfalme wa Gederi mmoja
cv afmfalme wa Horma mmoja
mfalme wa Aradi mmoja
cv agmfalme wa Libna mmoja
mfalme wa Adulamu mmoja
cv ahmfalme wa Makeda mmoja
mfalme wa Betheli mmoja
cv aimfalme wa Tapua mmoja
mfalme wa Heferi mmoja
cv ajmfalme wa Afeki mmoja
mfalme wa Lasharoni mmoja
cv akmfalme wa Madoni mmoja
mfalme wa Hazori mmoja
cv almfalme wa Shimron-Meroni mmoja
mfalme wa Akishafu mmoja
cv ammfalme wa Taanaki mmoja
mfalme wa Megido mmoja
cv anmfalme wa Kedeshi mmoja
mfalme wa Yokneamu katika Karmeli mmoja
cv aomfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori)
Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori.
mmoja
mfalme wa Goimu katika Gilgali mmoja
cv aqmfalme wa Tirsa mmoja

wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
Copyright information for SwhKC